Maana kama vile mwili ni mmoja, nao una viungo vingi, na viungo vyote vya mwili ule, navyo ni vingi, ni mwili mmoja; vivyo hivyo na Kristo.
1 Wakorintho 12:14 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Kwa maana mwili si kiungo kimoja, bali ni vingi. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Mwili hauna kiungo kimoja tu, bali una viungo vingi. Biblia Habari Njema - BHND Mwili hauna kiungo kimoja tu, bali una viungo vingi. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Mwili hauna kiungo kimoja tu, bali una viungo vingi. Neno: Bibilia Takatifu Basi mwili si kiungo kimoja, bali ni viungo vingi. Neno: Maandiko Matakatifu Basi mwili si kiungo kimoja, bali ni viungo vingi. BIBLIA KISWAHILI Kwa maana mwili si kiungo kimoja, bali ni vingi. |
Maana kama vile mwili ni mmoja, nao una viungo vingi, na viungo vyote vya mwili ule, navyo ni vingi, ni mwili mmoja; vivyo hivyo na Kristo.
Mguu ukisema, Kwa kuwa mimi si mkono, mimi si wa mwili; je! Unakuwa si wa mwili kwa sababu hiyo?
Basi uvueni uongo, mkaseme kweli kila mtu na jirani yake; kwa maana tu viungo, kila mmoja kiungo cha wenzake.