1 Wakorintho 11:28 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Lakini mtu ajihoji mwenyewe, na hivyo aule mkate, na kukinywea kikombe. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Basi, kila mtu ajichunguze mwenyewe kwanza, ndipo ale mkate huo na anywe kikombe hicho; Biblia Habari Njema - BHND Basi, kila mtu ajichunguze mwenyewe kwanza, ndipo ale mkate huo na anywe kikombe hicho; Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Basi, kila mtu ajichunguze mwenyewe kwanza, ndipo ale mkate huo na anywe kikombe hicho; Neno: Bibilia Takatifu Inampasa mtu ajichunguze mwenyewe, kabla ya kula mkate na kukinywea kikombe. Neno: Maandiko Matakatifu Inampasa mtu ajichunguze mwenyewe, kabla ya kula mkate na kukinywea kikombe. BIBLIA KISWAHILI Lakini mtu ajihoji mwenyewe, na hivyo aule mkate, na kukinywea kikombe. |
Maana alaye na kunywa, hula na kunywa hukumu ya nafsi yake, kwa kutokuupambanua ule mwili.
Jichunguzeni wenyewe muone kama mmekuwa katika imani; jithibitisheni wenyewe. Au hamjijui wenyewe, kwamba Yesu Kristo yu ndani yenu? Isipokuwa iwe mmekataliwa.
Lakini kila mtu na aipime kazi yake mwenyewe, ndipo atakapokuwa na sababu ya kujisifu ndani ya nafsi yake tu, wala si kwa mwenzake.