Kwa habari za dhabihu za matoleo yangu, hutoa dhabihu ya nyama na kuila; lakini BWANA hawakubali; sasa ataukumbuka uovu wao, na kuwapatiliza dhambi zao; watarudi kwenda Misri.
1 Wakorintho 11:20 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Basi mnapokutanika pamoja haiwezekani kula chakula cha Bwana; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kweli mnakutana, lakini si kwa ajili ya kula Karamu ya Bwana! Biblia Habari Njema - BHND Kweli mnakutana, lakini si kwa ajili ya kula Karamu ya Bwana! Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kweli mnakutana, lakini si kwa ajili ya kula Karamu ya Bwana! Neno: Bibilia Takatifu Mkutanikapo pamoja si Chakula cha Bwana Isa mnachokula, Neno: Maandiko Matakatifu Mkutanikapo pamoja si chakula cha Bwana Isa mnachokula, BIBLIA KISWAHILI Basi mnapokutanika pamoja haiwezekani kula chakula cha Bwana; |
Kwa habari za dhabihu za matoleo yangu, hutoa dhabihu ya nyama na kuila; lakini BWANA hawakubali; sasa ataukumbuka uovu wao, na kuwapatiliza dhambi zao; watarudi kwenda Misri.
Na wakati mnapokula chakula na kunywa, je, Hamli kwa ajili ya nafsi zenu, na kunywa kwa ajili ya nafsi zenu?
Wakawa wakidumu katika fundisho la mitume, na katika ushirika, na katika kuumega mkate, na katika kusali.
Na siku zote kwa moyo mmoja walidumu ndani ya hekalu, wakimega mkate nyumba kwa nyumba, na kushiriki chakula chao kwa furaha na kwa moyo mweupe,
Lakini katika kuagiza haya, siwasifu, ya kwamba mnakusanyika, si kwa faida bali kwa hasara.
kwa maana kila mmoja hutangulia kutwaa chakula chake katika kule kula; hata huyu ana njaa, na huyu amelewa.
wala tusiache kukusanyika pamoja, kama ilivyo desturi ya wengine; bali tuonyane; na kuzidi kufanya hivyo, kwa kadiri muonavyo siku ile kuwa inakaribia.
Wakipatikana na madhara, ambayo ni ujira wa udhalimu wao, wakidhania kuwa ulevi wakati wa mchana ni anasa; wamekuwa ni mawaa na aibu wakifuata anasa zisizo kiasi katika karamu zao za upendo, wafanyapo karamu pamoja nanyi;
Watu hawa ni miamba yenye hatari katika karamu zenu za upendo walapo karamu pamoja nanyi, wakijilisha pasipo hofu; ni mawingu yasiyo na maji, yachukuliwayo na upepo; ni miti iliyopukutika, isiyo na matunda, iliyokufa mara mbili, na kung'olewa kabisa;