1 Wakorintho 11:13 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Je! Inapendeza mwanamke amwombe Mungu asipofunika kichwa? Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Amueni wenyewe: Je, inafaa mwanamke kumwomba Mungu bila kuvaa kitu kichwani? Biblia Habari Njema - BHND Amueni wenyewe: Je, inafaa mwanamke kumwomba Mungu bila kuvaa kitu kichwani? Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Amueni wenyewe: Je, inafaa mwanamke kumwomba Mungu bila kuvaa kitu kichwani? Neno: Bibilia Takatifu Hukumuni ninyi wenyewe: Je, inafaa kwa mwanamke kumwomba Mungu bila kufunika kichwa chake? Neno: Maandiko Matakatifu Hukumuni ninyi wenyewe: Je, inafaa kwa mwanamke kumwomba Mungu bila kufunika kichwa chake? BIBLIA KISWAHILI Je! Inapendeza mwanamke amwombe Mungu asipofunika kichwa? |
Je! Hayo maumbile yenyewe hayawafundishi ya kwamba mwanamume akiwa na nywele ndefu ni aibu kwake?
Wanawake na wanyamaze katika kanisa, maana hawana ruhusa kunena bali watii, kama vile inenavyo torati nayo.