1 Wakorintho 10:9 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Wala tusimjaribu Bwana, kama wengine wao walivyomjaribu, wakauawa na nyoka. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Tusimjaribu Bwana kama baadhi yao walivyomjaribu, wakauawa na nyoka. Biblia Habari Njema - BHND Tusimjaribu Bwana kama baadhi yao walivyomjaribu, wakauawa na nyoka. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Tusimjaribu Bwana kama baadhi yao walivyomjaribu, wakauawa na nyoka. Neno: Bibilia Takatifu Wala tusimjaribu Al-Masihi, kama baadhi yao walivyofanya, wakafa kwa kuumwa na nyoka. Neno: Maandiko Matakatifu Wala tusimjaribu Al-Masihi, kama baadhi yao walivyofanya, wakafa kwa kuumwa na nyoka. BIBLIA KISWAHILI Wala tusimjaribu Bwana, kama wengine wao walivyomjaribu, wakauawa na nyoka. |
Kwa hiyo hao watu wakamgombeza Musa, wakasema, Tupe maji tunywe. Musa akawaambia, Kwa nini mnanigombeza? Mbona mnamjaribu BWANA?
Akapaita mahali pale jina lake Masa, na Meriba kwa sababu ya ugomvi wa wana wa Israeli, na kwa sababu walimjaribu BWANA, wakisema, Je! BWANA yu kati yetu au sivyo?