vile vile kama mimi niwapendezavyo watu wote katika mambo yote, nisitake faida yangu mwenyewe, ila faida yao walio wengi, wapate kuokolewa.
1 Wakorintho 10:24 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Mtu asitafute faida yake mwenyewe, bali ya mwenzake. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Mtu asitafute faida yake mwenyewe, ila faida ya mwenzake. Biblia Habari Njema - BHND Mtu asitafute faida yake mwenyewe, ila faida ya mwenzake. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Mtu asitafute faida yake mwenyewe, ila faida ya mwenzake. Neno: Bibilia Takatifu Mtu yeyote asitafute yaliyo yake mwenyewe, bali kila mtu atafute yale yanayowafaa wengine. Neno: Maandiko Matakatifu Mtu yeyote asitafute yaliyo yake mwenyewe, bali kila mtu atafute yale yanayowafaa wengine. BIBLIA KISWAHILI Mtu asitafute faida yake mwenyewe, bali ya mwenzake. |
vile vile kama mimi niwapendezavyo watu wote katika mambo yote, nisitake faida yangu mwenyewe, ila faida yao walio wengi, wapate kuokolewa.
Tazama, hii ni mara ya tatu ya mimi kuwa tayari kuja kwenu, wala sitawalemea. Maana sivitafuti vitu vyenu, bali nawatafuta ninyi; maana haiwapasi watoto kuweka akiba kwa wazazi, bali wazazi kwa watoto.