1 Wakorintho 10:15 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Nasema kama na watu wenye akili; lifikirini ninyi ninenalo. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Naongea nanyi, watu wenye busara; jiamulieni wenyewe hayo nisemayo. Biblia Habari Njema - BHND Naongea nanyi, watu wenye busara; jiamulieni wenyewe hayo nisemayo. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Naongea nanyi, watu wenye busara; jiamulieni wenyewe hayo nisemayo. Neno: Bibilia Takatifu Nasema watu wenye ufahamu, amueni wenyewe kuhusu haya niyasemayo. Neno: Maandiko Matakatifu Nasema watu wenye ufahamu, amueni wenyewe kuhusu haya niyasemayo. BIBLIA KISWAHILI Nasema kama na watu wenye akili; lifikirini ninyi ninenalo. |
Kikombe kile cha baraka tukibarikicho, je! Si ushirika wa damu ya Kristo? Mkate ule tuumegao, si ushirika wa mwili wa Kristo?
Ndugu zangu, msiwe watoto katika akili zenu; lakini katika uovu mgeuzwe watoto wachanga, bali katika akili zenu muwe watu wazima.
Sisi tu wapumbavu kwa ajili ya Kristo, lakini ninyi ni wenye akili katika Kristo; sisi tu dhaifu, lakini ninyi mna nguvu; ninyi mna utukufu, lakini sisi hatupati heshima.
Nasema hayo nipate kuwatahayarisha. Je! Ndivyo, kwamba kwenu hakuna hata mtu mmoja mwenye hekima, awezaye kukata maneno ya ndugu zake?
Na kuhusu vyakula vilivyotolewa sadaka kwa sanamu; Twajua ya kuwa sisi sote tuna ujuzi. Ujuzi huleta majivuno, bali upendo hujenga.