Akatoa ishara siku ile ile, akasema, Hii ndiyo ishara aliyoinena BWANA, Tazama, madhabahu itapasuka, na majivu yaliyo juu yake yatamwagika.
1 Wakorintho 1:22 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Kwa sababu Wayahudi wanataka ishara, na Wagiriki wanatafuta hekima; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Wayahudi wanataka ishara, na Wagiriki wanatafuta hekima; Biblia Habari Njema - BHND Wayahudi wanataka ishara, na Wagiriki wanatafuta hekima; Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Wayahudi wanataka ishara, na Wagiriki wanatafuta hekima; Neno: Bibilia Takatifu Wayahudi wanadai ishara za miujiza na Wayunani wanatafuta hekima. Neno: Maandiko Matakatifu Wayahudi wanadai ishara za miujiza na Wayunani wanatafuta hekima. BIBLIA KISWAHILI Kwa sababu Wayahudi wanataka ishara, na Wagiriki wanatafuta hekima; |
Akatoa ishara siku ile ile, akasema, Hii ndiyo ishara aliyoinena BWANA, Tazama, madhabahu itapasuka, na majivu yaliyo juu yake yatamwagika.
Wakatokea Mafarisayo, wakaanza kuhojiana naye; wakitafuta kwake ishara itokayo mbinguni; wakimjaribu.
Lakini, ikiwa mimi natoa pepo kwa kidole cha Mungu, basi ufalme wa Mungu umekwisha kuwajia.