Basi, nendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu;
1 Wakorintho 1:15 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC mtu asije akasema kwamba mlibatizwa kwa jina langu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kwa hiyo hakuna awezaye kusema amebatizwa kwa jina langu. ( Biblia Habari Njema - BHND Kwa hiyo hakuna awezaye kusema amebatizwa kwa jina langu. ( Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kwa hiyo hakuna awezaye kusema amebatizwa kwa jina langu. ( Neno: Bibilia Takatifu Kwa hiyo hakuna mtu yeyote anayeweza kusema kwamba alibatizwa kwa jina langu. Neno: Maandiko Matakatifu Kwa hiyo hakuna mtu yeyote anayeweza kusema kwamba alibatizwa kwa jina langu. BIBLIA KISWAHILI mtu asije akasema kwamba mlibatizwa kwa jina langu. |
Basi, nendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu;
Yeye anenaye kwa nafsi yake tu hutafuta utukufu wake mwenyewe; bali yeye anayetafuta utukufu wake aliyemtuma, huyo ni wa kweli, wala ndani yake hamna udhalimu.
Tena niliwabatiza watu wa nyumbani mwa Stefana; zaidi ya hao, sijui kama nilimbatiza mtu yeyote mwingine.
Maana nawaonea wivu, wivu wa Mungu; kwa kuwa niliwaposea mume mmoja, ili nimletee Kristo bikira safi.