Basi BWANA akamghadhibikia Sulemani kwa sababu moyo wake umegeuka, naye amemwacha BWANA, Mungu wa Israeli, aliyemtokea mara mbili,
1 Wafalme 9:2 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC basi, BWANA akamtokea Sulemani mara ya pili kama alivyomtokea huko Gibeoni. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Mwenyezi-Mungu alimtokea tena kama alivyomtokea kule Gibeoni. Biblia Habari Njema - BHND Mwenyezi-Mungu alimtokea tena kama alivyomtokea kule Gibeoni. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Mwenyezi-Mungu alimtokea tena kama alivyomtokea kule Gibeoni. Neno: Bibilia Takatifu Mwenyezi Mungu akamtokea mara ya pili, vile alivyomtokea huko Gibeoni. Neno: Maandiko Matakatifu bwana akamtokea mara ya pili, kama alivyokuwa amemtokea huko Gibeoni. BIBLIA KISWAHILI basi, BWANA akamtokea Sulemani mara ya pili kama alivyomtokea huko Gibeoni. |
Basi BWANA akamghadhibikia Sulemani kwa sababu moyo wake umegeuka, naye amemwacha BWANA, Mungu wa Israeli, aliyemtokea mara mbili,
Na huko Gibeoni BWANA akamtokea Sulemani katika ndoto ya usiku; Mungu akamwambia, Omba utakalo nikupe.
BWANA akamtokea Sulemani usiku, akamwambia, Nimesikia uliyoyaomba, na mahali hapa nimejichagulia kuwa nyumba ya dhabihu.