na miji yote ya hazina iliyokuwa yake Sulemani; na miji ya magari yake, na miji ya watu wake wapandao farasi, na kila alichopenda kujenga Sulemani huko Yerusalemu, na katika Lebanoni, na katika nchi yote ya mamlaka yake.
1 Wafalme 9:18 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC na Baalathi, na Tamari ulio nyikani, katika nchi; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema kadhalika miji ifuatayo: Baalathi, na Tamari, mji ulio nyikani katika nchi ya Yuda Biblia Habari Njema - BHND kadhalika miji ifuatayo: Baalathi, na Tamari, mji ulio nyikani katika nchi ya Yuda Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza kadhalika miji ifuatayo: Baalathi, na Tamari, mji ulio nyikani katika nchi ya Yuda Neno: Bibilia Takatifu akajenga Baalathi na Tamari kwenye jangwa katika eneo la nchi yake. Neno: Maandiko Matakatifu akajenga Baalathi na Tamari kwenye jangwa katika eneo la nchi yake, BIBLIA KISWAHILI na Baalathi, na Tamari ulio nyikani, katika nchi; |
na miji yote ya hazina iliyokuwa yake Sulemani; na miji ya magari yake, na miji ya watu wake wapandao farasi, na kila alichopenda kujenga Sulemani huko Yerusalemu, na katika Lebanoni, na katika nchi yote ya mamlaka yake.
Na upande wa kusini, kuelekea kusini, utakuwa ni kutoka Tamari mpaka maji ya Meriba-Kadeshi, mpaka kijito cha Misri, mpaka bahari kubwa. Huu ndio upande wa kusini, kuelekea kusini.