Kisha Daudi alipokwisha kutoa sadaka ya kuteketezwa na sadaka za amani akawabariki watu kwa jina la BWANA wa majeshi.
1 Wafalme 8:55 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Akasimama, na kuwabariki mkutano wote wa Israeli kwa sauti kuu, akasema, Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Alisimama, akawabariki Waisraeli wote waliokuwa wamekusanyika hapo, akisema kwa sauti kubwa, Biblia Habari Njema - BHND Alisimama, akawabariki Waisraeli wote waliokuwa wamekusanyika hapo, akisema kwa sauti kubwa, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Alisimama, akawabariki Waisraeli wote waliokuwa wamekusanyika hapo, akisema kwa sauti kubwa, Neno: Bibilia Takatifu Akasimama na kubariki kusanyiko lote la Israeli kwa sauti kubwa, akisema: Neno: Maandiko Matakatifu Akasimama na kubariki kusanyiko lote la Israeli kwa sauti kubwa akisema: BIBLIA KISWAHILI Akasimama, na kuwabariki mkutano wote wa Israeli kwa sauti kuu, akasema, |
Kisha Daudi alipokwisha kutoa sadaka ya kuteketezwa na sadaka za amani akawabariki watu kwa jina la BWANA wa majeshi.
Mfalme akageuza uso wake, akawabariki mkutano wote wa Israeli; na mkutano wote wa Israeli wakasimama.
Na Daudi alipokwisha kuitoa sadaka ya kuteketezwa na sadaka za amani, akawabariki watu kwa jina la BWANA.
Hata walipokuja Hezekia na wakuu, na kuyaona yale mafungu, wakamhimidi BWANA, na watu wake Israeli.
Musa akaiona hiyo kazi yote, na tazama, walikuwa wameimaliza; vile vile kama BWANA alivyoagiza, walikuwa wameifanya vivyo hivyo; basi Musa akawaombea heri.