Akazinakshi kuta zote za nyumba kwa nakshi za makerubi, na mitende, na maua yaliyofunuka wazi, pande za ndani na nje.
1 Wafalme 6:30 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Na sakafu ya nyumba akaifunika na dhahabu ndani na nje. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Aliipaka dhahabu sakafu ya vyumba vya ndani na vya nje. Biblia Habari Njema - BHND Aliipaka dhahabu sakafu ya vyumba vya ndani na vya nje. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Aliipaka dhahabu sakafu ya vyumba vya ndani na vya nje. Neno: Bibilia Takatifu Pia alifunika sakafu zote za vyumba vya ndani na vya nje vya Hekalu kwa dhahabu. Neno: Maandiko Matakatifu Pia alifunika sakafu zote za vyumba vya ndani na vya nje vya Hekalu kwa dhahabu. BIBLIA KISWAHILI Na sakafu ya nyumba akaifunika na dhahabu ndani na nje. |
Akazinakshi kuta zote za nyumba kwa nakshi za makerubi, na mitende, na maua yaliyofunuka wazi, pande za ndani na nje.
Akayafanyia maingilio ya chumba cha ndani milango ya mzeituni; kizingiti na miimo ilikuwa ya pande tano.
Badala ya shaba nitaleta dhahabu, Na badala; ya chuma nitaleta fedha, Na badala ya mti, shaba, Na badala ya mawe, chuma; Tena nitaifanya amani kuwa kama msimamizi wako, Na haki kuwa kiongozi wako.