Akavijenga vyumba mbavuni mwa nyumba yote, kwenda juu kwake kila kimoja kilikuwa mikono mitano; vikaitegemea nyumba kwa boriti za mwerezi.
1 Wafalme 6:11 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Neno la BWANA likamjia Sulemani, kusema, Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Wakati huo, ujumbe huu wa Mwenyezi-Mungu ukamjia Solomoni, Biblia Habari Njema - BHND Wakati huo, ujumbe huu wa Mwenyezi-Mungu ukamjia Solomoni, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Wakati huo, ujumbe huu wa Mwenyezi-Mungu ukamjia Solomoni, Neno: Bibilia Takatifu Neno la Mwenyezi Mungu likamjia Sulemani kusema: Neno: Maandiko Matakatifu Neno la bwana likamjia Sulemani kusema: BIBLIA KISWAHILI Neno la BWANA likamjia Sulemani, kusema, |
Akavijenga vyumba mbavuni mwa nyumba yote, kwenda juu kwake kila kimoja kilikuwa mikono mitano; vikaitegemea nyumba kwa boriti za mwerezi.
Katika habari ya nyumba hii unayoijenga, kama ukienda katika sheria zangu, na kuzifanya hukumu zangu, na kuzishika amri zangu zote na kwenda katika hizo; ndipo nitakapolithibitisha neno langu kwako, nililomwambia Daudi baba yako.