Ila Sadoki, kuhani, na Benaya, mwana wa Yehoyada, na Nathani, nabii, na Shimei, na Rei, na mashujaa wa Daudi, hao hawakuwa pamoja na Adonia.
1 Wafalme 4:18 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Shimei mwana wa Ela, katika Benyamini. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Shimei, mwana wa Ela, alisimamia wilaya ya Benyamini. Biblia Habari Njema - BHND Shimei, mwana wa Ela, alisimamia wilaya ya Benyamini. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Shimei, mwana wa Ela, alisimamia wilaya ya Benyamini. Neno: Bibilia Takatifu Shimei mwana wa Ela: katika Benyamini; Neno: Maandiko Matakatifu Shimei mwana wa Ela: katika Benyamini; BIBLIA KISWAHILI Shimei mwana wa Ela, katika Benyamini. |
Ila Sadoki, kuhani, na Benaya, mwana wa Yehoyada, na Nathani, nabii, na Shimei, na Rei, na mashujaa wa Daudi, hao hawakuwa pamoja na Adonia.
jamaa ya nyumba ya Lawi peke yao, na wake zao peke yao; jamaa ya nyumba ya Shimei peke yao, na wake zao peke yao.