Ikawa, Daudi alipofika juu, hapo Mungu alipoabudiwa, tazama, Hushai, Mwarki, akaja kumlaki na joho lake likiwa limeraruliwa, tena akiwa na udongo kichwani mwake.
1 Wafalme 4:16 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Baana mwana wa Hushai, katika Asheri na Bealothi. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Baana mwana wa Hushai, alisimamia wilaya ya Asheri na Bealothi. Biblia Habari Njema - BHND Baana mwana wa Hushai, alisimamia wilaya ya Asheri na Bealothi. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Baana mwana wa Hushai, alisimamia wilaya ya Asheri na Bealothi. Neno: Bibilia Takatifu Baana mwana wa Hushai: katika Asheri na katika Bealothi; Neno: Maandiko Matakatifu Baana mwana wa Hushai: katika Asheri na katika Bealothi; BIBLIA KISWAHILI Baana mwana wa Hushai, katika Asheri na Bealothi. |
Ikawa, Daudi alipofika juu, hapo Mungu alipoabudiwa, tazama, Hushai, Mwarki, akaja kumlaki na joho lake likiwa limeraruliwa, tena akiwa na udongo kichwani mwake.