1 Wafalme 4:10 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Mwana wa Hesedi, katika Arubothi; na Soko ilikuwa kwake na nchi yote ya Heferi. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Ben-hesedi alisimamia mji wa Arubothi, alisimamia pia Soko na nchi yote ya Heferi. Biblia Habari Njema - BHND Ben-hesedi alisimamia mji wa Arubothi, alisimamia pia Soko na nchi yote ya Heferi. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Ben-hesedi alisimamia mji wa Arubothi, alisimamia pia Soko na nchi yote ya Heferi. Neno: Bibilia Takatifu Ben-Hesedi: katika Arubothi (Soko na nchi yote ya Heferi zilikuwa zake); Neno: Maandiko Matakatifu Ben-Hesedi: katika Arubothi (Soko na nchi yote ya Heferi zilikuwa zake); BIBLIA KISWAHILI Mwana wa Hesedi, katika Arubothi na Soko lilikuwa kwake na nchi yote ya Heferi. |
Na kura ilikuwa ni ya hao wana wa Manase waliosalia kwa kufuata jamaa zao; kwa wana wa Abiezeri, kwa wana wa Heleki, kwa wana wa Asrieli, kwa wana wa Shekemu, kwa wana wa Heferi na kwa wana wa Shemida; hao ndio wana wa kiume wa Manase, mwana wa Yusufu, kwa kufuata jamaa zao.