Kisha, siku ya tatu baada ya kuzaa kwangu, ikawa mwanamke huyu naye akazaa; na sisi tulikuwa pamoja; hapakuwa na mtu mwingine pamoja nasi nyumbani, isipokuwa sisi wawili tu.
1 Wafalme 3:19 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Na mtoto wa mwanamke huyu akafa usiku, maana alimlalia. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Halafu, usiku mmoja, mtoto wake alifariki kwa sababu alimlalia. Biblia Habari Njema - BHND Halafu, usiku mmoja, mtoto wake alifariki kwa sababu alimlalia. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Halafu, usiku mmoja, mtoto wake alifariki kwa sababu alimlalia. Neno: Bibilia Takatifu “Usiku mwana wa huyu mwanamke akafa kwa sababu alimlalia. Neno: Maandiko Matakatifu “Wakati wa usiku mwana wa huyu mwanamke akafa kwa sababu alimlalia. BIBLIA KISWAHILI Na mtoto wa mwanamke huyu akafa usiku, maana alimlalia. |
Kisha, siku ya tatu baada ya kuzaa kwangu, ikawa mwanamke huyu naye akazaa; na sisi tulikuwa pamoja; hapakuwa na mtu mwingine pamoja nasi nyumbani, isipokuwa sisi wawili tu.
Akaondoka kati ya usiku, akamwondoa mtoto wangu ubavuni pangu, mimi mjakazi wako nilipokuwa usingizini, akamweka kifuani pake, na mtoto wake mwenyewe, aliyekuwa amekufa, akamweka kifuani pangu.