Ikawa, Ahabu alipoyasikia maneno hayo, akayararua mavazi yake, akavaa magunia mwilini mwake, akafunga, akajilaza juu ya magunia, akaenda kwa upole.
1 Wafalme 21:28 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Neno la BWANA likaja kwa Eliya Mtishbi, kusema, Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Basi, ujumbe huu wa Mwenyezi-Mungu ukamjia Elia wa Tishbe: Biblia Habari Njema - BHND Basi, ujumbe huu wa Mwenyezi-Mungu ukamjia Elia wa Tishbe: Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Basi, ujumbe huu wa Mwenyezi-Mungu ukamjia Elia wa Tishbe: Neno: Bibilia Takatifu Ndipo neno la Mwenyezi Mungu lilipomjia Ilya Mtishbi kusema, Neno: Maandiko Matakatifu Ndipo neno la bwana lilipomjia Ilya Mtishbi kusema, BIBLIA KISWAHILI Neno la BWANA likaja kwa Eliya Mtishbi, kusema, |
Ikawa, Ahabu alipoyasikia maneno hayo, akayararua mavazi yake, akavaa magunia mwilini mwake, akafunga, akajilaza juu ya magunia, akaenda kwa upole.
Huoni jinsi Ahabu alivyojidhili mbele yangu? Basi kwa sababu amejidhili mbele yangu, sitayaleta yale mabaya katika siku zake; ila katika siku za mwanawe nitayaleta mabaya hayo juu ya nyumba yake.
Naye BWANA alipoona ya kwamba wamejinyenyekeza, neno la BWANA likamjia Shemaya, kusema, Wamejinyenyekeza; sitawaharibu; lakini nitawapa wokovu punde, wala ghadhabu yangu haitamwagika juu ya Yerusalemu kwa mkono wa Shishaki.