Basi akasema, Wajua ya kwamba ufalme ulikuwa wangu, na Israeli wote wakaniwekea nyuso zao ili mimi nimiliki; lakini sasa ufalme umegeuka kuwa wake ndugu yangu; kwa maana ulikuwa wake kutoka kwa BWANA.
1 Wafalme 2:16 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Basi sasa nina haja moja ninayokuomba, usinikataze hiyo. Naye akamwambia, Sema. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Sasa, ninalo ombi moja tu ambalo nakusihi usinikatalie.” Bathsheba akamwambia, “Sema tu.” Biblia Habari Njema - BHND Sasa, ninalo ombi moja tu ambalo nakusihi usinikatalie.” Bathsheba akamwambia, “Sema tu.” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Sasa, ninalo ombi moja tu ambalo nakusihi usinikatalie.” Bathsheba akamwambia, “Sema tu.” Neno: Bibilia Takatifu Sasa ninalo ombi moja ninalokuomba. Usinikatalie.” Bathsheba akasema, “Unaweza kuliomba.” Neno: Maandiko Matakatifu Sasa ninalo ombi moja ninalokuomba. Usinikatalie.” Bathsheba akasema, “Waweza kuliomba.” BIBLIA KISWAHILI Basi sasa nina haja moja ninayokuomba, usinikataze hiyo. Naye akamwambia, Sema. |
Basi akasema, Wajua ya kwamba ufalme ulikuwa wangu, na Israeli wote wakaniwekea nyuso zao ili mimi nimiliki; lakini sasa ufalme umegeuka kuwa wake ndugu yangu; kwa maana ulikuwa wake kutoka kwa BWANA.
Akasema, Nakusihi nena na Sulemani, mfalme (kwa kuwa hawezi kukukatalia neno), kwamba anioze Abishagi, Mshunami.
Ndipo akasema, Haja moja ndogo nakuomba; usinikatalie. Mfalme akamwambia, Omba, mama; kwa kuwa siwezi kukukatalia neno.