Ahabu akamwita Obadia, aliyekuwa juu ya nyumba yake; (na huyu Obadia alikuwa mwenye kumcha BWANA sana;
1 Wafalme 18:8 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Akamjibu, Ni mimi. Nenda, umwambie bwana wako, Tazama, Eliya yupo. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Elia akamwambia, “Naam! Ni mimi Elia. Nenda ukamwambie bwana wako kwamba niko hapa.” Biblia Habari Njema - BHND Elia akamwambia, “Naam! Ni mimi Elia. Nenda ukamwambie bwana wako kwamba niko hapa.” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Elia akamwambia, “Naam! Ni mimi Elia. Nenda ukamwambie bwana wako kwamba niko hapa.” Neno: Bibilia Takatifu Ilya akamjibu, “Ndiyo, nenda ukamwambie bwana wako, ‘Ilya yuko hapa.’ ” Neno: Maandiko Matakatifu Ilya akamjibu, “Ndiyo, nenda ukamwambie bwana wako Ahabu, ‘Ilya yuko hapa.’ ” BIBLIA KISWAHILI Akamjibu, Ni mimi. Nenda, umwambie bwana wako, Tazama, Eliya yupo. |
Ahabu akamwita Obadia, aliyekuwa juu ya nyumba yake; (na huyu Obadia alikuwa mwenye kumcha BWANA sana;
Na Obadia alipokuwa njiani, kumbe! Eliya akakutana naye. Akamtambua, akaanguka kifudifudi, akanena, Je! Ni wewe, bwana wangu Eliya?
Wapeni wote haki zao; mtu wa kodi, kodi; mtu wa ushuru, ushuru; astahiliye hofu, hofu; astahiliye heshima, heshima.