Kama BWANA, Mungu wako, aishivyo, hakuna taifa wala ufalme ambao bwana wangu hakutuma watu wakutafute; na waliposema, Hayupo, akawaapisha ule ufalme, na taifa, ya kwamba hawakukuona.
1 Wafalme 18:11 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Nawe sasa wasema, Nenda, umwambie bwana wako, Tazama, Eliya yupo. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Na sasa, wataka niende kumwambia kwamba wewe uko hapa! Biblia Habari Njema - BHND Na sasa, wataka niende kumwambia kwamba wewe uko hapa! Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Na sasa, wataka niende kumwambia kwamba wewe uko hapa! Neno: Bibilia Takatifu Lakini sasa unaniambia niende kwa bwana wangu na kusema, ‘Ilya yuko hapa.’ Neno: Maandiko Matakatifu Lakini sasa unaniambia niende kwa bwana wangu na kusema, ‘Ilya yuko hapa.’ BIBLIA KISWAHILI Nawe sasa wasema, Nenda, umwambie bwana wako, Tazama, Eliya yupo. |
Kama BWANA, Mungu wako, aishivyo, hakuna taifa wala ufalme ambao bwana wangu hakutuma watu wakutafute; na waliposema, Hayupo, akawaapisha ule ufalme, na taifa, ya kwamba hawakukuona.
Na itakuwa, mara mimi nikiondoka kwako, Roho ya BWANA atakuchukua uende nisikojua; nami nitakapokwenda kumwambia Ahabu, naye asipokuona, ataniua, lakini mimi mtumishi wako namcha BWANA tangu ujana wangu.