Kunguru wakamletea mkate na nyama asubuhi, na mkate na nyama jioni, akanywa maji ya kile kijito.
1 Wafalme 17:7 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Ikawa, baada ya siku kupita, kile kijito kikakatika, kwa sababu mvua haikunyesha katika nchi. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Lakini, baada ya siku chache kijito kikakauka kwa sababu hapakunyesha mvua nchini. Biblia Habari Njema - BHND Lakini, baada ya siku chache kijito kikakauka kwa sababu hapakunyesha mvua nchini. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Lakini, baada ya siku chache kijito kikakauka kwa sababu hapakunyesha mvua nchini. Neno: Bibilia Takatifu Baada ya muda, kile kijito kikakauka kwa sababu mvua haikuwa imenyesha katika nchi. Neno: Maandiko Matakatifu Baada ya muda, kile kijito kikakauka kwa sababu mvua haikuwa imenyesha katika nchi. BIBLIA KISWAHILI Ikawa, baada ya siku kupita, kile kijito kikakauka, kwa sababu mvua haikunyesha katika nchi. |
Kunguru wakamletea mkate na nyama asubuhi, na mkate na nyama jioni, akanywa maji ya kile kijito.
Maana milima itaondoka, na vilima vitaondolewa; bali wema wangu hautaondoka kwako, wala agano langu la amani halitaondolewa; asema BWANA akurehemuye.
Naam, hata wanyama pori wanakulilia wewe; Kwa maana vijito vya maji vimekauka, Na moto umeyateketeza malisho ya nyikani.
BWANA atakupiga kwa kifua kikuu, na kwa homa, na kwa kuwashwa, na kwa joto jingi, na kwa upanga, na kwa ukaufu, na kwa koga; navyo vitakufukuza hata uangamie.