Na hao watu waliokuwako kambini wakasikia habari ya kwamba Zimri amekula njama, tena amemwua mfalme; kwa hiyo Israeli wote wakamfanya Omri, jemadari wa jeshi, awe mfalme juu ya Israeli siku ile kambini.
1 Wafalme 16:17 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Omri akapanda kutoka Gibethoni, na Israeli wote pamoja naye, wakauhusuru Tirza. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Omri na majeshi yake akaondoka Gibethoni, akaenda na kuuzingira mji wa Tirza. Biblia Habari Njema - BHND Omri na majeshi yake akaondoka Gibethoni, akaenda na kuuzingira mji wa Tirza. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Omri na majeshi yake akaondoka Gibethoni, akaenda na kuuzingira mji wa Tirza. Neno: Bibilia Takatifu Ndipo Omri na Waisraeli wote pamoja naye wakaondoka Gibethoni na kuizingira Tirsa. Neno: Maandiko Matakatifu Ndipo Omri na Waisraeli wote pamoja naye wakaondoka Gibethoni na kuizingira Tirsa. BIBLIA KISWAHILI Omri akapanda kutoka Gibethoni, na Israeli wote pamoja naye, wakauhusuru Tirza. |
Na hao watu waliokuwako kambini wakasikia habari ya kwamba Zimri amekula njama, tena amemwua mfalme; kwa hiyo Israeli wote wakamfanya Omri, jemadari wa jeshi, awe mfalme juu ya Israeli siku ile kambini.
Ikawa Zimri alipoona ya kuwa mji umetwaliwa, akaingia ngomeni mwa nyumba ya mfalme, akaiteketeza nyumba ya mfalme juu yake kwa moto, akafa;
Abimeleki akapigana na huo mji mchana kutwa; akautwaa mji, akawaua watu waliokuwamo ndani yake; kisha akauteketeza mji, na kuutia chumvi.