Na mambo yake Rehoboamu yaliyosalia, na yote aliyoyafanya, je! Hayakuandikwa katika Kitabu cha Kumbukumbu za Wafalme wa Yuda?
1 Wafalme 15:6 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Basi kulikuwa na vita kati ya Rehoboamu na Yeroboamu siku zote za maisha yake. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kulikuwako vita kati ya Rehoboamu na Yeroboamu wakati wote alipokuwa mtawala. Biblia Habari Njema - BHND Kulikuwako vita kati ya Rehoboamu na Yeroboamu wakati wote alipokuwa mtawala. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kulikuwako vita kati ya Rehoboamu na Yeroboamu wakati wote alipokuwa mtawala. Neno: Bibilia Takatifu Kulikuwa na vita kati ya Rehoboamu na Yeroboamu wakati wote wa maisha ya Abiya. Neno: Maandiko Matakatifu Kulikuwa na vita kati ya Rehoboamu na Yeroboamu wakati wote wa maisha ya Abiya. BIBLIA KISWAHILI Basi kulikuwa na vita kati ya Rehoboamu na Yeroboamu siku zote za maisha yake. |
Na mambo yake Rehoboamu yaliyosalia, na yote aliyoyafanya, je! Hayakuandikwa katika Kitabu cha Kumbukumbu za Wafalme wa Yuda?
Na mambo yote ya Abiya yaliyosalia, na yote aliyoyafanya, je! Hayakuandikwa katika Kitabu cha Kumbukumbu za Wafalme wa Yuda? Kulikuwa na vita kati ya Abiya na Yeroboamu.