1 Wafalme 15:16 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Kulikuwa na vita kati ya Asa na Baasha mfalme wa Israeli siku zao zote. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Mfalme Asa wa Yuda, na mfalme Baasha wa Israeli, walikuwa na vita kati yao wakati wote walipokuwa wakitawala. Biblia Habari Njema - BHND Mfalme Asa wa Yuda, na mfalme Baasha wa Israeli, walikuwa na vita kati yao wakati wote walipokuwa wakitawala. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Mfalme Asa wa Yuda, na mfalme Baasha wa Israeli, walikuwa na vita kati yao wakati wote walipokuwa wakitawala. Neno: Bibilia Takatifu Kulikuwa na vita kati ya Asa na Baasha, mfalme wa Israeli siku zote za utawala wao. Neno: Maandiko Matakatifu Kulikuwa na vita kati ya Asa na Baasha mfalme wa Israeli siku zote za utawala wao. BIBLIA KISWAHILI Kulikuwa na vita kati ya Asa na Baasha mfalme wa Israeli siku zao zote. |