1 Wafalme 13:27 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Akawaambia wanawe, akasema, Nitandikieni punda. Wakamtandikia. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Hapo akawaambia wanawe “Nitandikie punda.” Nao wakamtandikia. Biblia Habari Njema - BHND Hapo akawaambia wanawe “Nitandikie punda.” Nao wakamtandikia. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Hapo akawaambia wanawe “Nitandikie punda.” Nao wakamtandikia. Neno: Bibilia Takatifu Nabii akawaambia wanawe, “Nitandikieni punda,” nao wakafanya hivyo. Neno: Maandiko Matakatifu Nabii akawaambia wanawe, “Nitandikieni punda,” nao wakafanya hivyo. BIBLIA KISWAHILI Akawaambia wanawe, akasema, Nitandikieni punda. Wakamtandikia. |
Na yule nabii aliyemrudisha njiani alipopata habari, akasema; Ndiye yule mtu wa Mungu, aliyeiasi kauli ya BWANA; kwa hiyo BWANA amempambanisha na simba, simba akamrarua, akamwua, sawasawa na neno la BWANA alilomwambia.
Akaenda, akamwona yule maiti ametupwa njiani, na punda na simba wamesimama karibu na maiti; yule simba alikuwa hakumla maiti, wala hakumrarua punda.