1 Wafalme 13:20 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Hata ikawa, walipokuwa wameketi mezani, neno la BWANA likamjia nabii yule aliyemrudisha; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Walipokuwa mezani, neno la Mwenyezi-Mungu likamjia huyo nabii mzee, Biblia Habari Njema - BHND Walipokuwa mezani, neno la Mwenyezi-Mungu likamjia huyo nabii mzee, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Walipokuwa mezani, neno la Mwenyezi-Mungu likamjia huyo nabii mzee, Neno: Bibilia Takatifu Walipokuwa wameketi mezani, neno la Mwenyezi Mungu likamjia yule nabii mzee aliyemrudisha huyo mtu wa Mungu. Neno: Maandiko Matakatifu Wakati walipokuwa wameketi mezani, neno la bwana likamjia yule nabii mzee aliyemrudisha huyo mtu wa Mungu. BIBLIA KISWAHILI Hata ikawa, walipokuwa wameketi mezani, neno la BWANA likamjia nabii yule aliyemrudisha; |
akamlilia yule mtu wa Mungu aliyetoka katika Yuda, akinena, BWANA asema hivi, Kwa sababu umeiasi kauli ya BWANA, wala hukuishika amri ile aliyokuamuru BWANA, Mungu wako,
BWANA akaonana na Balaamu akatia neno kinywani mwake, akasema, Umrudie Balaki, ukaseme hivi.
BWANA akatia neno katika kinywa chake Balaamu, akasema, Umrudie Balaki; ukaseme maneno haya.
Asema, yeye asikiaye maneno ya Mungu, Yeye aonaye maono ya Mwenyezi, Akianguka kifudifudi, amefumbuliwa macho;
Wengi wataniambia siku ile, Bwana, Bwana, hatukufanya unabii kwa jina lako, na kwa jina lako kutoa pepo, na kwa jina lako kufanya miujiza mingi?
Na neno hilo yeye hakulisema kwa nafsi yake; bali kwa kuwa alikuwa Kuhani Mkuu mwaka ule, alitabiri ya kwamba Yesu atakufa kwa ajili ya taifa hilo.
Tena nijapokuwa na unabii, na kujua siri zote na maarifa yote, nijapokuwa na imani timilifu kiasi cha kuweza kuhamisha milima, kama sina upendo, mimi si kitu.