Akamfuata mtu wa Mungu, akamkuta ameketi chini ya mwaloni, akamwambia, Je! Wewe ndiwe yule mtu wa Mungu aliyetoka katika Yuda? Akamwambia, Mimi ndiye.
1 Wafalme 13:15 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Akamwambia, Karibu kwangu nyumbani, ule chakula. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Huyo mzee akamwambia, “Karibu nyumbani kwangu, ukale chakula.” Biblia Habari Njema - BHND Huyo mzee akamwambia, “Karibu nyumbani kwangu, ukale chakula.” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Huyo mzee akamwambia, “Karibu nyumbani kwangu, ukale chakula.” Neno: Bibilia Takatifu Basi nabii akamwambia, “Karibu nyumbani pamoja na mimi, ule.” Neno: Maandiko Matakatifu Basi nabii akamwambia, “Karibu nyumbani pamoja na mimi ule.” BIBLIA KISWAHILI Akamwambia, Karibu kwangu nyumbani, ule chakula. |
Akamfuata mtu wa Mungu, akamkuta ameketi chini ya mwaloni, akamwambia, Je! Wewe ndiwe yule mtu wa Mungu aliyetoka katika Yuda? Akamwambia, Mimi ndiye.
Naye akamwambia, Siwezi kurudi pamoja nawe, wala kuingia pamoja nawe; wala sili chakula wala sinywi maji pamoja nawe hapa;