Na tena, mfalme akasema hivi, BWANA, Mungu wa Israeli, ahimidiwe, aliyenipa leo hivi mtu wa kuketi katika kiti changu cha enzi, nayo macho yangu yakiwa yanaona hayo.
1 Wafalme 1:49 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Ndipo wageni wote waliokuwa pamoja na Adonia wakaogopa, wakaondoka, wakaenda zao kila mtu njia yake. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Basi, wageni wa Adoniya wakaogopa sana, wakaondoka na kutawanyika. Biblia Habari Njema - BHND Basi, wageni wa Adoniya wakaogopa sana, wakaondoka na kutawanyika. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Basi, wageni wa Adoniya wakaogopa sana, wakaondoka na kutawanyika. Neno: Bibilia Takatifu Waliposikia haya, wageni wote wa Adoniya wakainuka kwa hofu na kutawanyika. Neno: Maandiko Matakatifu Katika hili, wageni wote wa Adoniya wakainuka kwa mshtuko wa hofu na kutawanyika. BIBLIA KISWAHILI Ndipo wageni wote waliokuwa pamoja na Adonia wakaogopa, wakaondoka, wakaenda zao kila mtu njia yake. |
Na tena, mfalme akasema hivi, BWANA, Mungu wa Israeli, ahimidiwe, aliyenipa leo hivi mtu wa kuketi katika kiti changu cha enzi, nayo macho yangu yakiwa yanaona hayo.
Adonia naye akaogopa mbele ya Sulemani; akaondoka, akaenda, akazishika pembe za madhabahu.