1 Timotheo 5:12 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC nao wana hukumu kwa kuwa wameiacha imani yao ya kwanza. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema na wataonekana kukosa uaminifu kuhusu ahadi yao ya pale awali. Biblia Habari Njema - BHND na wataonekana kukosa uaminifu kuhusu ahadi yao ya pale awali. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza na wataonekana kukosa uaminifu kuhusu ahadi yao ya pale awali. Neno: Bibilia Takatifu Nao kwa njia hiyo watajiletea hukumu kwa kukiuka ahadi yao ya kwanza. Neno: Maandiko Matakatifu Nao kwa njia hiyo watajiletea hukumu kwa kukiuka ahadi yao ya kwanza. BIBLIA KISWAHILI nao wana hukumu kwa kuwa wameiacha imani yao ya kwanza. |
mtu akiwa na njaa, na ale nyumbani kwake; msipate kukutanika kwa hukumu. Na hayo yaliyosalia nikija nitayatengeneza.
Nashangaa kwa kuwa mnamwacha upesi hivi yeye aliyewaita katika neema ya Kristo, na kugeukia Injili ya namna nyingine.
Bali wajane walio vijana ukatae kuwaandika hao, maana, wakizidiwa na tamaa kinyume cha Kristo, wataka kuolewa;
Tena, pamoja na hayo, hujifunza kuwa wavivu, wakizungukazunguka nyumba kwa nyumba; wala si wavivu tu, lakini ni wachongezi na wadadisi, wakinena maneno yasiyowapasa.
Kwa maana wakati umefika wa hukumu kuanza katika nyumba ya Mungu; na ikianza kwetu sisi, mwisho wao wasioitii Injili ya Mungu utakuwaje?