Bwana wake akamwambia, Vema, mtumwa mwema na mwaminifu; ulikuwa mwaminifu kwa machache, nitakuweka juu ya mengi; ingia katika furaha ya bwana wako.
1 Timotheo 4:9 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Ni neno la kuaminiwa, tena lastahili kukubalika kabisa; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Usemi huo ni wa kusadikika kabisa na unastahili kukubaliwa. Biblia Habari Njema - BHND Usemi huo ni wa kusadikika kabisa na unastahili kukubaliwa. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Usemi huo ni wa kusadikika kabisa na unastahili kukubaliwa. Neno: Bibilia Takatifu Hili ni neno la kuaminiwa tena lastahili kukubaliwa kabisa. Neno: Maandiko Matakatifu Hili ni neno la kuaminiwa tena lastahili kukubaliwa kabisa, BIBLIA KISWAHILI Ni neno la kuaminiwa, tena lastahili kukubalika kabisa; |
Bwana wake akamwambia, Vema, mtumwa mwema na mwaminifu; ulikuwa mwaminifu kwa machache, nitakuweka juu ya mengi; ingia katika furaha ya bwana wako.
Ni neno la kuaminiwa, tena lastahili kukubalika kabisa, ya kwamba Kristo Yesu alikuja ulimwenguni awaokoe wenye dhambi; ambao wa kwanza wao ni mimi.