Wanawake na wanyamaze katika kanisa, maana hawana ruhusa kunena bali watii, kama vile inenavyo torati nayo.
1 Timotheo 2:12 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Simpi mwanamke ruhusa ya kufundisha, wala kumtawala mwanamume, bali awe msikivu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Mimi simruhusu mwanamke amfundishe au amtawale mwanamume; anapaswa kukaa kimya. Biblia Habari Njema - BHND Mimi simruhusu mwanamke amfundishe au amtawale mwanamume; anapaswa kukaa kimya. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Mimi simruhusu mwanamke amfundishe au amtawale mwanamume; anapaswa kukaa kimya. Neno: Bibilia Takatifu Simpi mwanamke ruhusa ya kufundisha au kuwa na mamlaka juu ya mwanaume. Mwanamke inampasa kukaa kimya. Neno: Maandiko Matakatifu Simpi mwanamke ruhusa ya kufundisha au kuwa na mamlaka juu ya mwanaume. Mwanamke inampasa kukaa kimya. BIBLIA KISWAHILI Simpi mwanamke ruhusa ya kufundisha, wala kumtawala mwanamume, bali awe msikivu. |
Wanawake na wanyamaze katika kanisa, maana hawana ruhusa kunena bali watii, kama vile inenavyo torati nayo.
na kuwa wenye kiasi, kuwa safi, kufanya kazi nyumbani mwao, kuwa wema, kuwatii waume zao wenyewe; ili neno la Mungu lisitukanwe.