Ndipo Mwamaleki, na Mkanaani waliokaa huko mlimani, wakateremka, wakawapiga na kuwaangusha, hadi wakafika Horma.
1 Samueli 30:30 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC na kwa hao wa Horma, na kwa hao wa Korashani, na kwa hao wa Athaki; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema wakazi wa Horma, wakazi wa Borashani, wakazi wa Athaki, Biblia Habari Njema - BHND wakazi wa Horma, wakazi wa Borashani, wakazi wa Athaki, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza wakazi wa Horma, wakazi wa Borashani, wakazi wa Athaki, Neno: Bibilia Takatifu na kwa wale walio Horma, Bori-Ashani, Athaki, Neno: Maandiko Matakatifu na kwa wale walioko Horma, Bori-Ashani, Athaki, BIBLIA KISWAHILI na kwa hao wa Horma, na kwa hao wa Korashani, na kwa hao wa Athaki; |
Ndipo Mwamaleki, na Mkanaani waliokaa huko mlimani, wakateremka, wakawapiga na kuwaangusha, hadi wakafika Horma.
BWANA akasikiza sauti ya Israeli, akawatia Wakanaani mikononi mwao; nao wakawaharibu wao na miji yao kabisa; na jina la mahali hapo likaitwa Horma.
Kisha Yuda akaenda pamoja na nduguye Simeoni, na wakawapiga Wakanaani waliokaa katika Sefathi, na kuuharibu mji kabisa. Na jina la mji huo ulikuwa ukiitwa Horma.