1 Samueli 20:40 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Naye Yonathani akampa mtoto silaha zake, akamwambia, Nenda, ukazichukue mjini. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Yonathani akamkabidhi yule kijana silaha zake na kumwambia “Nenda urudi mjini.” Biblia Habari Njema - BHND Yonathani akamkabidhi yule kijana silaha zake na kumwambia “Nenda urudi mjini.” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Yonathani akamkabidhi yule kijana silaha zake na kumwambia “Nenda urudi mjini.” Neno: Bibilia Takatifu Basi Yonathani akampa yule mvulana silaha zake na kumwambia, “Nenda, zirudishe mjini.” Neno: Maandiko Matakatifu Basi Yonathani akampa yule mvulana silaha zake na kumwambia, “Nenda, zirudishe mjini.” BIBLIA KISWAHILI Naye Yonathani akampa mtoto silaha zake, akamwambia, Nenda, ukazichukue mjini. |
Basi mara alipokuwa amekwisha ondoka yule mtoto, mara Daudi akatoka mahali pale karibu na kile kichuguu, akaanguka kifudifudi, akajiinama mara tatu; nao wakabusiana, wakaliliana, hata Daudi akazidi.