Tena nikagundua kuwa juhudi zote, na ustadi wote katika kazi, hutokana na mtu kumwonea mwingine wivu. Hayo nayo ni ubatili na kufukuza upepo.
1 Samueli 18:29 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Naye Sauli akazidi kumwogopa Daudi; tangu wakati huo, Sauli akawa adui yake Daudi daima. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema alizidi kumwogopa Daudi. Shauli akawa adui wa Daudi daima. Biblia Habari Njema - BHND alizidi kumwogopa Daudi. Shauli akawa adui wa Daudi daima. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza alizidi kumwogopa Daudi. Shauli akawa adui wa Daudi daima. Neno: Bibilia Takatifu Sauli akazidi kumwogopa Daudi, naye Sauli akabaki kuwa adui yake siku zote za maisha yake. Neno: Maandiko Matakatifu Sauli akazidi kumwogopa Daudi, naye Sauli akabaki kuwa adui yake siku zote za maisha yake. BIBLIA KISWAHILI Naye Sauli akazidi kumwogopa Daudi; tangu wakati huo, Sauli akawa adui yake Daudi daima. |
Tena nikagundua kuwa juhudi zote, na ustadi wote katika kazi, hutokana na mtu kumwonea mwingine wivu. Hayo nayo ni ubatili na kufukuza upepo.
Sauli akaona na kutambua ya kwamba BWANA alikuwa pamoja na Daudi; na huyo Mikali, binti Sauli, akampenda.
Wakati huo wakuu wa Wafilisti wakatokeza; kisha ikawa, kila mara walipotokeza, Daudi alipata ushindi zaidi kuliko watumishi wote wa Sauli hivyo jina lake likawa na sifa kuu.