Kwa kuwa vitu vyote vyatoka kwake, viko kwa uweza wake, tena vinarejea kwake. Utukufu una yeye milele. Amina.
1 Petro 5:11 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Uweza una yeye hata milele na milele. Amina. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kwake yawe mamlaka milele! Amina. Biblia Habari Njema - BHND Kwake yawe mamlaka milele! Amina. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kwake yawe mamlaka milele! Amina. Neno: Bibilia Takatifu Uweza una yeye milele na milele. Amen. Neno: Maandiko Matakatifu Uweza una yeye milele na milele. Amen. BIBLIA KISWAHILI Uweza una yeye hata milele na milele. Amina. |
Kwa kuwa vitu vyote vyatoka kwake, viko kwa uweza wake, tena vinarejea kwake. Utukufu una yeye milele. Amina.
Mtu akisema, na aseme kama asemaye maneno halisi ya Mungu; mtu akihudumu, na ahudumu kwa nguvu anazojaliwa na Mungu; ili Mungu atukuzwe katika mambo yote kwa Yesu Kristo. Utukufu na uweza una yeye hata milele na milele. Amina.
na kutufanya kuwa ufalme, na makuhani kwa Mungu, naye ni Baba yake; utukufu na ukuu una Yeye hata milele na milele. Amina.
Na kila kiumbe kilichoko mbinguni na juu ya nchi na chini ya nchi na juu ya bahari, na vitu vyote vilivyomo ndani yake, nilivisikia, vikisema, Baraka na heshima na utukufu na uweza una yeye aketiye juu ya kiti cha enzi, na kwake Mwana-kondoo, hata milele na milele.