Akatoka ndugu yake baadaye, ana uzi mwekundu mkononi mwake; naye akaitwa jina lake Zera.
1 Mambo ya Nyakati 9:6 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Na wa wana wa Zera; Yeueli, na ndugu zao; watu mia sita na tisini. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Na wazawa wa Zera, Yeueli, na ndugu zao; watu 690. Biblia Habari Njema - BHND Na wazawa wa Zera, Yeueli, na ndugu zao; watu 690. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Na wazawa wa Zera, Yeueli, na ndugu zao; watu 690. Neno: Bibilia Takatifu Kwa wana wa Zera: Yeueli. Watu wa Yuda jumla yao walikuwa watu mia sita na tisini (690). Neno: Maandiko Matakatifu Kwa wana wa Zera: Yeueli. Watu wa Yuda jumla yao walikuwa watu 690. BIBLIA KISWAHILI Na wa wana wa Zera; Yeueli, na ndugu zao; watu mia sita na tisini. |
Akatoka ndugu yake baadaye, ana uzi mwekundu mkononi mwake; naye akaitwa jina lake Zera.
Na wana wa Yuda; Eri, na Onani, na Shela, na Peresi, na Zera; lakini Eri na Onani walikufa katika nchi ya Kanaani. Na wana wa Peresi, ni Hesroni, na Hamuli.
Na wana wa Yuda kwa jamaa zao; wa Shela, jamaa ya Washela; wa Peresi, jamaa ya Waperesi; wa Zera, jamaa ya Wazera.