Na wana wa Asheri; Imna, na Ishva, na Ishvi, na Beria, na Sera, dada yao. Na wana wa Beria ni Heberi, na Malkieli.
1 Mambo ya Nyakati 7:30 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Wana wa Asheri; Imna, na Ishva, na Ishvi, na Beria, na dada yao, Sera. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Hawa ndio wazawa wa Asheri. Asheri alikuwa na wana wanne: Imna, Ishva, Ishri na Beria, na binti mmoja jina lake Sera. Biblia Habari Njema - BHND Hawa ndio wazawa wa Asheri. Asheri alikuwa na wana wanne: Imna, Ishva, Ishri na Beria, na binti mmoja jina lake Sera. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Hawa ndio wazawa wa Asheri. Asheri alikuwa na wana wanne: Imna, Ishva, Ishri na Beria, na binti mmoja jina lake Sera. Neno: Bibilia Takatifu Wana wa Asheri walikuwa: Imna, Ishva, Ishvi na Beria. Dada yao alikuwa Sera. Neno: Maandiko Matakatifu Wana wa Asheri walikuwa: Imna, Ishva, Ishvi na Beria. Dada yao alikuwa Sera. BIBLIA KISWAHILI Wana wa Asheri; Imna, na Ishva, na Ishvi, na Beria, na dada yao, Sera. |
Na wana wa Asheri; Imna, na Ishva, na Ishvi, na Beria, na Sera, dada yao. Na wana wa Beria ni Heberi, na Malkieli.