1 Mambo ya Nyakati 5:11 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Na wana wa Gadi walipakana na wana wa Reubeni, katika nchi ya Bashani mpaka Saleka; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kabila la Gadi lilipakana na kabila la Reubeni upande wa kaskazini, katika nchi ya Bashani iliyoenea mashariki hadi Saleka. Biblia Habari Njema - BHND Kabila la Gadi lilipakana na kabila la Reubeni upande wa kaskazini, katika nchi ya Bashani iliyoenea mashariki hadi Saleka. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kabila la Gadi lilipakana na kabila la Reubeni upande wa kaskazini, katika nchi ya Bashani iliyoenea mashariki hadi Saleka. Neno: Bibilia Takatifu Wagadi waliishi jirani nao katika nchi ya Bashani, hadi Saleka. Neno: Maandiko Matakatifu Wagadi waliishi jirani nao katika nchi ya Bashani, mpaka Saleka. BIBLIA KISWAHILI Na wana wa Gadi walipakana na wana wa Reubeni, katika nchi ya Bashani mpaka Saleka; |
Na wana wa Gadi kwa jamaa zao; wa Sifoni, jamaa ya Wasifoni; wa Hagi, jamaa ya Wahagi; wa Shuni, jamaa ya Washuni;
naye alitawala katika mlima wa Hermoni, na katika Saleka, na katika Bashani yote, hadi mpaka wa Wageshuri, na Wamaaka, na nusu ya Gileadi, mpaka wa huyo Sihoni mfalme wa Heshboni.
na Gileadi na mpaka wa Wageshuri, na Wamaaka, na mlima wa Hermoni wote, na Bashani yote mpaka Saleka;