Naye Naara akamzalia Ahuzamu, na Heferi, na Temeni, na Ahashtari. Hao ndio wana wa Naara.
1 Mambo ya Nyakati 4:7 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Na wana wa Hela walikuwa Serethi, na Ishari, na Ethnani. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Hela alimzalia wana watatu: Serethi, Ishari na Ethnani. Biblia Habari Njema - BHND Hela alimzalia wana watatu: Serethi, Ishari na Ethnani. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Hela alimzalia wana watatu: Serethi, Ishari na Ethnani. Neno: Bibilia Takatifu Wana wa Hela walikuwa: Serethi, Sohari, Ethnani, Neno: Maandiko Matakatifu Wana wa Hela walikuwa: Serethi, Sohari, Ethnani, BIBLIA KISWAHILI Na wana wa Hela walikuwa Serethi, na Ishari, na Ethnani. |
Naye Naara akamzalia Ahuzamu, na Heferi, na Temeni, na Ahashtari. Hao ndio wana wa Naara.