Tena, baada ya kufa kwake Hesroni huko Kalebu-Efrata, ndipo Abia, mkewe Hesroni, alipomzalia Ashuri, babaye Teboa.
1 Mambo ya Nyakati 4:5 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Naye Ashuri, babaye Tekoa, alikuwa na wake wawili, Hela na Naara. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Ashuru, mwanzilishi wa mji wa Tekoa, alikuwa na wake wawili: Hela na Naara. Biblia Habari Njema - BHND Ashuru, mwanzilishi wa mji wa Tekoa, alikuwa na wake wawili: Hela na Naara. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Ashuru, mwanzilishi wa mji wa Tekoa, alikuwa na wake wawili: Hela na Naara. Neno: Bibilia Takatifu Ashuri baba yake Tekoa alikuwa na wake wawili, Hela na Naara. Neno: Maandiko Matakatifu Ashuri baba yake Tekoa alikuwa na wake wawili, Hela na Naara. BIBLIA KISWAHILI Naye Ashuri, babaye Tekoa, alikuwa na wake wawili, Hela na Naara. |
Tena, baada ya kufa kwake Hesroni huko Kalebu-Efrata, ndipo Abia, mkewe Hesroni, alipomzalia Ashuri, babaye Teboa.
na Penueli, babaye Gedori, na Ezeri, babaye Husha. Hao ndio wana wa Huri, mzaliwa wa kwanza wa Efrata, babaye Bethlehemu.
Naye Naara akamzalia Ahuzamu, na Heferi, na Temeni, na Ahashtari. Hao ndio wana wa Naara.