Basi hawa ndio wale waliomjia Daudi huko Siklagi, alipokuwa akijificha kwa ajili ya Sauli, mwana wa Kishi; nao walikuwamo miongoni mwa wale mashujaa, waliomsaidia vitani.
1 Mambo ya Nyakati 4:30 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC na huko Bethueli, na Horma, na Siklagi; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Bethueli, Horma, Siklagi, Biblia Habari Njema - BHND Bethueli, Horma, Siklagi, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Bethueli, Horma, Siklagi, Neno: Bibilia Takatifu Bethueli, Horma, Siklagi, Neno: Maandiko Matakatifu Bethueli, Horma, Siklagi, BIBLIA KISWAHILI na huko Bethueli, na Horma, na Siklagi; |
Basi hawa ndio wale waliomjia Daudi huko Siklagi, alipokuwa akijificha kwa ajili ya Sauli, mwana wa Kishi; nao walikuwamo miongoni mwa wale mashujaa, waliomsaidia vitani.
na huko, Beth-markabothi, na Hasar-susimu, na Bethbiri, na Shaaraimu. Hiyo ndiyo miji yao hadi wakati wa kutawala kwa Daudi.
Ndipo Akishi akampa Siklagi siku ile; kwa sababu hiyo huo mji wa Siklagi ni mali ya wafalme wa Yuda hata hivi leo.
Ikawa, Daudi na watu wake walipokuwa wamefika Siklagi siku ya tatu, hao Waamaleki walikuwa wameshambulia Negebu, na Siklagi, nao wameupiga Siklagi, na kuuchoma moto;