1 Mambo ya Nyakati 4:26 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Na wana wa Mishma; mwanawe huyo ni Hamueli, na mwanawe huyo ni Zakuri, na mwanawe huyo ni Shimei. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Mishma alimzaa Hamueli, aliyemzaa Zakuri, na Zakuri akamzaa Shimei. Biblia Habari Njema - BHND Mishma alimzaa Hamueli, aliyemzaa Zakuri, na Zakuri akamzaa Shimei. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Mishma alimzaa Hamueli, aliyemzaa Zakuri, na Zakuri akamzaa Shimei. Neno: Bibilia Takatifu Wazao wa Mishma walikuwa: Hamueli aliyemzaa Zakuri, Zakuri akamzaa Shimei. Neno: Maandiko Matakatifu Wazao wa Mishma walikuwa: Hamueli aliyemzaa Zakuri, Zakuri akamzaa Shimei. BIBLIA KISWAHILI Na wana wa Mishma; mwanawe huyo ni Hamueli, na mwanawe huyo ni Zakuri, na mwanawe huyo ni Shimei. |
Naye Shimei alikuwa na wana wa kiume kumi na sita, na wana wa kike sita; lakini nduguze walikuwa hawana watoto wengi, tena jamaa yao yote haikuongezeka sana kama wana wa Yuda.