Basi wakaenda, wakawaita mabawabu wa mji; wakawaambia, Tulifika kituo cha Washami, na tazama, hapana mtu yeyote huko, wala sauti ya mtu, ila farasi wamefungwa, na punda wamefungwa, na hema zao kama walivyoziacha.
1 Mambo ya Nyakati 26:19 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Hizo ndizo zamu za mabawabu; wa wana wa Wakora, na wa wana wa Merari. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Haya ndiyo makundi ya mabawabu miongoni mwa ukoo wa Kora na wazawa wa Merari waliofanya kazi ya ubawabu. Biblia Habari Njema - BHND Haya ndiyo makundi ya mabawabu miongoni mwa ukoo wa Kora na wazawa wa Merari waliofanya kazi ya ubawabu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Haya ndiyo makundi ya mabawabu miongoni mwa ukoo wa Kora na wazawa wa Merari waliofanya kazi ya ubawabu. Neno: Bibilia Takatifu Hii ilikuwa migawanyo ya mabawabu waliokuwa wazao wa Kora na wa Merari. Neno: Maandiko Matakatifu Hii ndiyo iliyokuwa migawanyo ya mabawabu waliokuwa wazao wa Kora na wa Merari. BIBLIA KISWAHILI Hizo ndizo zamu za mabawabu; wa wana wa Wakora, na wa wana wa Merari. |
Basi wakaenda, wakawaita mabawabu wa mji; wakawaambia, Tulifika kituo cha Washami, na tazama, hapana mtu yeyote huko, wala sauti ya mtu, ila farasi wamefungwa, na punda wamefungwa, na hema zao kama walivyoziacha.
Na katika Walawi; Ahia mtunzaji wa hazina ya nyumba ya Mungu, pamoja na hazina ya vitu vilivyowekwa wakfu.
Kwa sababu hii wewe na mkutano wako wote mmekusanyika kinyume cha BWANA; na Haruni, je! Yeye ni nani hata mkamnung'unikia?