Ikawa Israeli alipokuwa akikaa katika nchi ile, Reubeni akaenda akalala na Bilha, suria wa babaye; Israeli akasikia habari. Basi hao wana wa Yakobo walikuwa kumi na wawili.
1 Mambo ya Nyakati 2:2 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC na Dani, na Yusufu, na Benyamini, na Naftali, na Gadi, na Asheri. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Dani, Yosefu, Benyamini, Naftali, Gadi na Asheri. Biblia Habari Njema - BHND Dani, Yosefu, Benyamini, Naftali, Gadi na Asheri. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Dani, Yosefu, Benyamini, Naftali, Gadi na Asheri. Neno: Bibilia Takatifu Dani, Yusufu, Benyamini, Naftali, Gadi na Asheri. Neno: Maandiko Matakatifu Dani, Yusufu, Benyamini, Naftali, Gadi na Asheri. BIBLIA KISWAHILI na Dani, na Yusufu, na Benyamini, na Naftali, na Gadi, na Asheri. |
Ikawa Israeli alipokuwa akikaa katika nchi ile, Reubeni akaenda akalala na Bilha, suria wa babaye; Israeli akasikia habari. Basi hao wana wa Yakobo walikuwa kumi na wawili.
Na wana wa Asheri; Imna, na Ishva, na Ishvi, na Beria, na Sera, dada yao. Na wana wa Beria ni Heberi, na Malkieli.
Hawa ndio wana wa Israeli; Reubeni, na Simeoni, na Lawi, na Yuda, na Isakari, na Zabuloni;
Wana wa Yuda; Eri, na Onani, na Shela; ambao hao watatu alizaliwa na binti Shua, Mkanaani. Naye Eri, mzaliwa wa kwanza wa Yuda, alikuwa mbaya machoni pa BWANA; naye akamwua.