Naye Daudi akasema, Mtu yeyote atakayekuwa wa kwanza wa kuwapiga Wayebusi, yeye atakuwa mkuu na jemadari. Naye wa kwanza aliyepanda ni Yoabu mwana wa Seruya, naye akawa mkuu.
1 Mambo ya Nyakati 19:8 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Basi Daudi aliposikia habari akamtuma Yoabu, na jeshi lote la mashujaa. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Naye Daudi aliposikia habari hizo alimtuma Yoabu na jeshi lote la mashujaa. Biblia Habari Njema - BHND Naye Daudi aliposikia habari hizo alimtuma Yoabu na jeshi lote la mashujaa. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Naye Daudi aliposikia habari hizo alimtuma Yoabu na jeshi lote la mashujaa. Neno: Bibilia Takatifu Daudi aliposikia jambo hili, akamtuma Yoabu na jeshi lote la wapiganaji. Neno: Maandiko Matakatifu Daudi aliposikia jambo hili, akamtuma Yoabu na jeshi lote la wapiganaji. BIBLIA KISWAHILI Basi Daudi aliposikia habari akamtuma Yoabu, na jeshi lote la mashujaa. |
Naye Daudi akasema, Mtu yeyote atakayekuwa wa kwanza wa kuwapiga Wayebusi, yeye atakuwa mkuu na jemadari. Naye wa kwanza aliyepanda ni Yoabu mwana wa Seruya, naye akawa mkuu.
Basi wakakodi magari elfu thelathini na mbili, na mfalme wa Maaka na watu wake; nao walikuja wakatua mbele ya Medeba. Na wana wa Amoni wakakusanyika kutoka miji yao, wakaja vitani.
Wakatoka wana wa Amoni, wakajipanga kwa vita langoni pa mji; na hao wafalme waliokuja walikuwa peke yao uwanjani.