Tokea siku ile nilipowatoa watu wangu Israeli katika Misri, sikuchagua mji wowote katika kabila zote za Israeli ili kujenga nyumba, jina langu liwe hapo; lakini nilimchagua Daudi awe juu ya watu wangu Israeli.
1 Mambo ya Nyakati 17:3 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Ikawa usiku uo huo, neno la Mungu likamjia Nathani, kusema, Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Lakini usiku uleule, neno la Mwenyezi-Mungu lilimjia Nathani, kusema, Biblia Habari Njema - BHND Lakini usiku uleule, neno la Mwenyezi-Mungu lilimjia Nathani, kusema, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Lakini usiku uleule, neno la Mwenyezi-Mungu lilimjia Nathani, kusema, Neno: Bibilia Takatifu Usiku ule neno la Mungu likamjia Nathani, kusema: Neno: Maandiko Matakatifu Usiku ule neno la Mungu likamjia Nathani, kusema: BIBLIA KISWAHILI Ikawa usiku huo huo, neno la Mungu likamjia Nathani, kusema, |
Tokea siku ile nilipowatoa watu wangu Israeli katika Misri, sikuchagua mji wowote katika kabila zote za Israeli ili kujenga nyumba, jina langu liwe hapo; lakini nilimchagua Daudi awe juu ya watu wangu Israeli.
Naye Nathani akamwambia Daudi, Haya, fanya yote yaliyomo moyoni mwako; kwa maana Mungu yu pamoja nawe.
Nenda, kamwambie mtumishi wangu, Daudi, BWANA asema hivi, Wewe hutanijengea nyumba ya kukaa;
na masikio yako yatasikia neno nyuma yako, likisema, Njia ni hii, ifuateni; mgeukapo kwenda mkono wa kulia, na mgeukapo kwenda mkono wa kushoto.
Hakika Bwana MUNGU hatafanya neno lolote, bila kuwafunulia watumishi wake manabii siri yake.
Kisha akawaambia, Sikilizeni basi maneno yangu; Akiwapo nabii kati yenu, Mimi, BWANA, nitajifunua kwake katika maono, Nitasema naye katika ndoto.