Tena, Daudi akawaita Sadoki na Abiathari makuhani, na hao Walawi, Urieli, Asaya, Yoeli, Shemaya, Elieli, na Aminadabu,
1 Mambo ya Nyakati 15:10 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC wa wana wa Uzieli; Aminadabu mkuu wao, na nduguze mia moja kumi na wawili. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema na kutoka katika ukoo wa Uzieli, wakaja Aminadabu pamoja na ndugu zake 112 chini ya usimamizi wake. Biblia Habari Njema - BHND na kutoka katika ukoo wa Uzieli, wakaja Aminadabu pamoja na ndugu zake 112 chini ya usimamizi wake. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza na kutoka katika ukoo wa Uzieli, wakaja Aminadabu pamoja na ndugu zake 112 chini ya usimamizi wake. Neno: Bibilia Takatifu Kutoka wazao wa Uzieli, Aminadabu kiongozi na ndugu zake mia moja na kumi na wawili (112). Neno: Maandiko Matakatifu Kutoka wazao wa Uzieli, Aminadabu kiongozi na ndugu zake 112. BIBLIA KISWAHILI wa wana wa Uzieli; Aminadabu mkuu wao, na nduguze mia moja kumi na wawili. |
Tena, Daudi akawaita Sadoki na Abiathari makuhani, na hao Walawi, Urieli, Asaya, Yoeli, Shemaya, Elieli, na Aminadabu,
Wana wa Kohathi; mwanawe huyo ni Ishari, na mwanawe huyo ni Kora, na mwanawe huyo ni Asiri;
Na wana wa Amramu; Haruni, na Musa, na Miriamu. Na wana wa Haruni; Nadabu, na Abihu, na Eleazari, na Ithamari.
Na wana wa Kohathi; ni Amramu, na Ishari, na Hebroni, na Uzieli; na miaka ya maisha ya huyo Kohathi ilikuwa ni miaka mia moja na thelathini na mitatu.