1 Mambo ya Nyakati 12:9 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Ezeri mkubwa wao, Obadia wa pili, Eliabu wa tatu; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kiongozi wao mkuu alikuwa Ezeri, wa pili Obadia, wa tatu Eliabu, Biblia Habari Njema - BHND Kiongozi wao mkuu alikuwa Ezeri, wa pili Obadia, wa tatu Eliabu, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kiongozi wao mkuu alikuwa Ezeri, wa pili Obadia, wa tatu Eliabu, Neno: Bibilia Takatifu Ezeri alikuwa mkuu wao, Obadia alikuwa wa pili katika uongozi, Eliabu wa tatu, Neno: Maandiko Matakatifu Ezeri alikuwa mkuu wao, Obadia alikuwa wa pili katika uongozi, Eliabu wa tatu, BIBLIA KISWAHILI Ezeri mkubwa wao, Obadia wa pili, Eliabu wa tatu; |
Na wana watatu wa Seruya walikuwako huko, Yoabu, na Abishai, na Asaheli; na Asaheli alikuwa mwepesi wa miguu kama kulungu.
Na wa Wagadi wakajitenga kumfuata Daudi ngomeni huko nyikani, wanaume mashujaa, watu waliozoea vita, walioweza kutumia ngao na mkuki; ambao nyuso zao zilikuwa kama nyuso za simba, nao walikuwa wepesi kama kulungu juu ya milima;
Na Gadi akamnena, Na abarikiwe amwongezaye Gadi; Yeye hukaa kama simba mke, Hurarua mkono, naam, na utosi wa kichwa.